Recent content by lapesam

  1. L

    JamiiForums Tanzania JamiiForums wabadilisha jina, Sasa kuitwa JamiiAfrica

    MBONA JAMII FORUMS ILIPENDEZA TU NA HAIKO LIMITED! “JAMII AFRICA” IS VERY LIMITED, MAANA SIKU TUKITAKA KUJITANUA WORLDWIDE ITABIDI TUBADILI TENA JINA, ILA JAMII FORUMS IPO UNLIMITED MAANA YES NI FORUMS MBALIMBALI. KWAHIYO SIKU MKITAKA KUBADILI TENA JAMII AFRICA ILI IWE WORLDWIDE MTAIITA “JAMII...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufatilia Mirathi uko vipi wakuu.

    Ulisema wewe ni ndugu wa marehemu na kwamba ni mnufaika peke yako🤔something’s fishy here! Now unaulizia pesa zima chukua muda gani kuingia kwenye akaunti ya ‘Mama’ ambaye kwa maneno yako naye ni “mnufaika”. Watch yourself man, your story isn’t giving.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Kiukweli nampenda ex (ingawa ana drama nyingi, kununa kwingi na bado anajitafuta). Huyu wa sasa imebidi niwe naye kwa sababu sipendi kuwa single na kiukweli ni responsible sana. Ila moyo aisee
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Nazitaka. Ongezea matusi mapya tafadhali, hayo uliyoandika yote nayajua.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Sawa nashukuru. La nyongeza? Halafu sikujua kama kuwa single mama ni tusi pia aiseee
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Watu mnafurahisha kweli. Kama vile wewe ni malaika. Kila mtu ana ukurasa wake ambao asingependa kuusoma kwa sauti hivyo usijifanye mtakatifu au mwerevu sana.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Amen. Najitahidi sana kumuomba Mungu maana najua huu ndio mustakabali wa maisha yangu na nisingependa nikosee maamuzi
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Jamani hujawahi kuona mwanamke/mwanaume anafanya kila kitu kizuri Ila bado hajakukaa rohoni (sijui niite bond or mazoea)!?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Jamani sio mtu mzima. Kanipita miaka michache, haizidi mitano (hajafikisha hata 33). Hajaoa na hana mtoto na sio tajiri ila anatoa kwa kujali tu Kama mpenzi wake. Na sio kwamba ananipa mamilioni, ni hela za kawaida kwa sababu kipato ni cha kawaida sana tu.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Sijafanya umalaya. Kila kitu kimetokea kwenye muda wake na sasa nipo katikati ya kuchagua kati ya wawili. Mbona ni vitu vinatokea sana, kwanini hapa mnajifanya Kama ni kitu cha ajabu au kigeni!?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Jamaa mpya sio kwamba ni tajiri, ni anatoa kama mwanaume anavyotoa kwa mpenzi wake. Ex tulikaliana kimya kwa miezi kadhaa ila ni mtu tuna miaka kadhaa kwenye mahusiano. Vaa viatu vyangu halafu toa ushauri.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Sio wajinga, akili yangu haifanani na yako Ndio maana nikaomba ushauri.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Wala sio pesa, ni anajali kwa vitu vya kawaida kwa mwanamke wake. Na mimi sio kwamba Nimekaa tu, ninafanya kazi ila kunijali anajali.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Aisee..
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ungechagua yupi kati ya hawa?

    Asante na ubarikiwe
Back
Top Bottom