Recent content by Lapa

  1. L

    Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

    TAFITI katika asilimia mia zawakazi wa dar asilimia 60% niwanawake 40% niwanaume nakatika hiyo asilimia 40 ya wanaume asilimia 25 nimashoga asilimia 10 hawana nguvu zakiume asilimia tano wanaogopa nyapu
  2. L

    Ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara?

    tumia ila ongezeaa hata nucta mbele au acha nafasi mfano facebook -(face book,facebook. )
  3. L

    Electrical interview question and answer

    Habari wanaJF Lengo na madhumuni ya uzi huu nikuwasaidia wale waliosoma fani ya umeme ambao wana pambana kupata ajira katika taasisi mbali mbali kutokana na kadayao kufaulu iterview. Hivyo kwa wale wote ambao wana uzoefu na maswali yanayo ulizwa katika interview za kada ya ufundi umeme pasipo...
  4. L

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    hapa enyewe nimeotea single maza nataka anizalie na mimi alafu nitembee
  5. L

    Hii naiita weka tuweke

    weanza kwenda nae kanisani kwao wazoee na wazazi wake ikishindikana kabisa tafta masela ukajitambulishe afu ukishapiga unatembea
  6. L

    Naomba ushauri kuhusu Biashara ya Bajaji

    wakati unaanza ungeomba ushauri bajaji ulizo nunua kwa mkopo nilazma usimamizi wake uwe mkubwa alafu ungezitoa kwa mkataba matengenezo juu ya ulie mkabizi akiamua kupitisha kwenye makorongo atajua mwenyewe wewe nilimradi upewe chako akishimndwa mkataba arudishe kama ulivyo mkabidhi
  7. L

    Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

    mwanamke ajakosa chakula kwao,hajakosa kitanda,hajakosa nguo, hajakosa mafuta yakujipaka,ajafukuzwa kwaoo, mpaka aseme aje kwako kuomba kulala mwanamke alichokosa kwao ni fimbo ya nyama tu ndiomaana akaja kwako sasa weunampigaje kimoja alafu unakuja kulialia huku huyo siondugu yako nahawez...
  8. L

    Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    habari za muda huu kutokana na kila mmoja kuonesha utofauti wa kifikra halmashauri ya ubongowangu umeona nibora usiwekeze popote hivyo ndugu wajumbe asanteni kwa ushiriki wenu msisite tena kurudi kwa thread zangu nyingine .
  9. L

    Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    kivipi shukrani lakini nataka kujenga sababu ya kuweka usalama pia na muda wa kuwaangalia hasubuh mna jion ninapotoka kazini eneo lilipo hakuna nvyumba vya kupanga kwahiyo siwzi waacha pasipo uanglizi wataibiwa
  10. L

    Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu' Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo...
  11. L

    Ninasumbuliwa na maumivu ya kiuno

    hamna kitu kama icho
Back
Top Bottom