Recent content by laolao

  1. laolao

    Msaada: Dawa ya kutibu tatizo la vidonda vya tumbo

    Habari wakati huu wadau. Nmekua na tatizo la vidonda vya tumbo ambayo hua vinakuja na kuondoka baada ya mda. Mara zote hua natumia dawa ya Omeprazole pamoja na dawa za kutuliza maumivu na antibiotics. Naona kipindi hichi imenirudia tena na nmetumia dawa kama awali lakini naona kupona kunaenda...
  2. laolao

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mbilia Bel wimbo unaitwa Nadina
  3. laolao

    Mpenzi wangu haoneshi kumpenda Mtoto wangu

    Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna mwaka mmoja pamoja na ambaye tuna matarajio ya kusogea hatua za mbali ikiwemo kufunga ndoa...
Back
Top Bottom