Recent content by Lano

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wale wanaochungulia TANAPA wameachia nafasi nyingine C&P

    Hahahahaha naona mh Rais wanyetishaji wake hawajampa madudu ya huko kwa kweli TANAPA inabidi waicheck vzr for sure kuwe na usawa katika Ajira haiwezekani kila mtu ailalamikie TANAPA hapa atatumbuliwa mtu soon we subiri tuu
  2. L

    JamiiForums Tanzania TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

    Hili swala linaukweli wowote?na je kuna hifadhi kweli zinaanzishwa??
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

    Kabisa nikumshukuru Mungu kwa yote roho iliniuma sanaaa Maana hata nauli na hela yakukaa lodge nilikopa mpaka sasa sijapata hela ya kulipa daaah
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi 122 za kazi bwerere kutoka TANAPA

    Walishaitwa mama awe mpole tu namimi nimekosa
  5. L

    JamiiForums Tanzania TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

    Sawa sawa Mkuu ila kuna mdau alisema TANAPA wanapanua Mbuga zaidi yani wanageuza mapori kua hifadhi na hivyo idadi ya kila kada itaongezeka nakumbuka alisema hifadhi Tano zinaongezwa labda badae tutaitwa mkuu Tumuombe Mungu labda wametuweka kwenye database
  6. L

    JamiiForums Tanzania TANAPA wametuma taarifa za usahili, angalieni email zenu

    Mkuu mbona tuliambiwa hata wale ambao hatujaitwa tutatumiwa emeil za kutaatifiwa kuwa hatukufanikiwa lakini naona kimyaa au watatuita kwa phase nyingine?Nimeshangaa hata aliyepata marks za chini yangu kaitwa ila mimi kimyaaa nimepekua mpaka kwenye sperm huko kwenye emil hakuna daaah any ways...
Back
Top Bottom