Recent content by Language Therapist

  1. Language Therapist

    DUCE mbona hawatoi matokeo( placement) ya usaili wa 30.01.2023

    Nafikiri ni utaratibu wao au huwa kuna jambo la kimamlaka linawasubirisha. Mimi pia nilipiga oral November 2023 tukaahidiwa baada ya wiki 3 but hadi leo ubao wa website yao hawajawahi ku-upload matokeo. Duuh kumbe huwa inachukua hadi miezi 9+?🤔🤔
  2. Language Therapist

    SoC04 Tahadhari zaidi inahitajika dhidi ya Mauaji ya Kinyama nchini, na si kusubiri yatokee ndipo tushughulike nayo

    UTANGULIZI: Miaka ya hivi karibuni watanzania tumekuwa tukipokea taarifa au kushuhudia mauaji ya kinyama kutoka mikoa mbalimbali nchini. Bila shaka wote tunatambua kuwa kumtoa mtu uhai wake ni kinyume na haki za binadamu kwani unamuondolea haki yake ya...
Back
Top Bottom