Recent content by Langliguara

  1. L

    JamiiForums Sababu 10 za watanzania kuwa masikini

    Mtoa mada umesema vizuri nakubalina na wewe 100% A. Kupata kazi na kijipanga. Mtu anapata kazi badala ajipange Kwa future anakimbilia kuoa kwamba nikifika bila mtoto itakuwaje mwisho wa siku anaishia kuwa mtumwa wa kausha damu kuendesha gari anasubiria kustafu.
  2. L

    JamiiForums Sababu 10 za watanzania kuwa masikini

    Nice analysis.
  3. L

    JamiiForums wakuu nauza kiwanja Mwanza

    900m ni uongo
  4. L

    JamiiForums wakuu nauza kiwanja Mwanza

    Taja bei
  5. L

    JamiiForums Hawa viongozi na watumishi wa umma tulio nao ni wazi wamelelewa na viboko Je vimewasaidia vipi kuwa na maadili na waeledi katika kazi zao!?

    A. mwanafunzi wa kiafrica na viboko ni sawa na samaki na maji . B. Viboko ndo vinarudisha watoto nyuma bila viboko huko shuleni hakutakalika . C. Watoto wa single mother wataharibika zaidi kwa sababu ma - single mothers hawachapi watoto . D. Ufukuzaji na usimamishaji ( suspension &...
  6. L

    JamiiForums Sikujua kama God bless Lema ni Mpuuzi wa kupuuzwa kiasi hiki!

    Hivi machame ni kitongoji au Kijiji?....
  7. L

    JamiiForums Wanaume msiotaka kuoa na wanawake msiotaka kuolewa mkizeeka mtalelewa na nani?

    Mtoa mada una mawazo ya kimaskini ya kizamani Iko hivi : A. Pesa . Pesa ndo silaha pekee ya kutatua matatizo Kwa haraka na uhakika mzee mwenye pesa Kila kitu anapata soon as possible . B. Uwekezaji. Ukiwa na njia sahihi za upatikanaji wa pesa hata ukizeeka utaishi kama malaika. Nb. Tukubali...
  8. L

    JamiiForums Huu ndio ukweli

    Mwanamke chapa kazi upate pesa tunza familia yako acha uvivu.
  9. L

    JamiiForums Watu wanne kwenye maisha yako kamwe hutakiwi kuwaamini hata kidogo

    Mtibeli swaga zako nazikubali sana hiyo namba mbili umepiga kwenye mshono . Mwanamke masikini ni tatizo ukimwamini umekwenda na maji kama jeshi la farao. Mtibeli kumbuka muda wa kifungua sabato umewadia.
  10. L

    JamiiForums Mtihani wa taifa wa somo la mahusiano mwaka 2025

    Mtihani wa taifa unakuwa katika mtiririko ufuatao A. Kuchagua B. Kuhoanisha C. Kuandika kweli / sikweli D. Kutoa maana E. Kutaja F. Kueleza. Huu mtihani sio wa taifa ni wa kwako umekaa kihisia sana .
Back
Top Bottom