Recent content by Langeni Eric

  1. L

    Balozi Ombeni Sefue: Nilishiriki mazishi ya Daudi Balali...

    Kweli Nimeamini Kua Viongozi Wetu Wanaamini Kabisa Kua Wananchi Wanaowaongoza Ni Majuha, Hawaelewi Kitu Hivyo Hujiropokea Tu! Kwa Kutoa Majibu Mepesi Katika Mambo Magumu, Mnatutia Hasira, Nyie Subirini Zitafika Arobaini....
  2. L

    Balozi Ombeni Sefue: Nilishiriki mazishi ya Daudi Balali...

    Ila Kweli Nimeamini Kua Viongozi Wetu Wanaamini Kua Wananchi Wanaongoza Ni Majuha, Njia Zao Za Ufahamu Zimeziba Ndiyo Maana Wanajiropokea Tu! Kutoa Sababu Nyepesi Katika Mambo Magumu Kwa Kujua Wananchi Wanamtindio Wa Ubongo Hivyo Haelewi Kitu, Mnatutia Hasira, Nyie Subirini Zitafika Arobaini...
  3. L

    CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

    Rais Kikwete Alipolitangazia Taifa Kuhusu Nia Yake Ya Dhati Ya Kuona Tanzania Inapata Katiba Mpya,katiba Itakayotokana Na Matakwa Ya Wananchi, Nilimuona Bonge La Jembe Anayetaka Kuacha Historia Isiyofutika Kwa Watu Wa Kizazi Hiki. Lakini Alikuja Kunishangaza Wakati Wa Ufunguzi Wa BMK Pale...
  4. L

    Sakata la Mnyika kutishiwa Maisha: Hiki ndicho kilichoko nyuma ya pazia

    Viongozi Walioingia Madarakani Kwa Kutumia Pesa, Kwa Kawaida Hulinda Madaraka Yao Kwa Gharama Yoyote Iwe Kwa Kuua Wale Ambao Wanaonekana Kutishia Usalama Wa Madaraka Yao, Kubambika Kesi,kuteka Na Kutesa,kutumia Vitisho Mbalimbali, Kwa Ajiri Kulinda Madaraka Yao Mwigulu,wasira Wameivuruga TIS...
  5. L

    Sitta awachonganisha viongozi wa dini na waumini wao waliotoa maoni katiba mpya

    Mh.Sitta Utambue Kwamba, Ukawa Kutoka Bungeni Ni Kwasabu Mwenyekiti Wako Wa Ccm, Na Wewe Sitta Kama Msimamizi Wa Maagizo Yake, Pamoja Na Wanaccm Wote Ndani Ya Bunge La Katiba Mna Nia Mbaya Na Katiba Mpya Kwa Kutaka Kutelekeza Maoni Ya Wananchi Na Kujadili Ya Kwenu Kwa Maslahi Yenu. Hiyo Sababu...
  6. L

    Milipuko ya mabomu Tanzania sasa inatisha

    Vitendo Vya Ugaidi Vinavyoendelea Humu Nchini Sasa Vimeanza Kutupa Wasiwasi. Hari Ilianza Kama Utani Kwa Bomu Lilorushwa Kanisa Katoriki Arusha,mkutano Wa Cdm Na Kuendelea Mpaka Sasa Ni Wa 6.Kule Z'bar Watu Kumwagiwa Tindikali Hakuishi. Hali Hii Inamaanisha Nini? Kwa Kawaida Kuna Kitengo Cha...
  7. L

    Leo katika historia

    Inashangaza Sana Kuona Ccm Ya sasa Kukosa Muelekeo, Sasa Najiuliza Kwanini Viongozi Wa Ccm Hawarejei Historia Ya Asili Ya Chama Chao
Back
Top Bottom