kwani mkiitisha baraza kuu kuna shida gani? mbona hoja ya baraza kuu kuitishwa hapa haijajibiwa ipasavyo? CHADEMA wakati mwingine mkubali madhaifu mlionayo na myarekebishe....vinginevyo cc tuliowapenzi wenu tunaoongozwa na fikra huru isioegemea upande wowote wa propaganda zenu tunaona kuna...
passover imekuwepo tangu israel wanatoka kwa farao,imeendelea kuwepo hadi wakati wa yesu,na hata yesu mwenyewe amesherehekea pasaka soma matayo26:17,leo wengi wanasherehekea kufufuka kwa yesu na sio pasaka,pasaka halisi ni ule mkate na divai mnayokula mara kwamara ktk ibada zenu soma matayo...
huwezi kulazimisha mtu awe unavyotaka ww,mi sion kama kuchoma kazi zao ndo suluhisho,mi nawapenda na nitaendelea kununua kazi zao,japo kisiasa nawaona kama wamepotea njia...! naheshim hisia zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.