Recent content by land of wind

  1. L

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Si walisema hakuna ruhusa ya maandamano, imekuaje au ndio nguvu ya uma
  2. L

    Wabunge waliopoteza ndoto ya kurudi mjengoni!

    Mh. Machali nae hayuko pazur sana kurud
  3. L

    Waliokuwa madiwani wa CCM Arusha Mjini, wahamia CHADEMA

    Acheni utan, hii hatar sasa
  4. L

    Utafiti: Uwezo wa watanzania kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana

    Kuna jamaa walikua wanaongea kwenye daladala, duuuh nilitaman kulia...
  5. L

    Utafiti: Uwezo wa watanzania kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana

    Ccm ikitaka kutawala milele...iajili tu wasomi na wataft za fikra za watu, ili wajue namna ya kuwachezesha watz, wala hmna haja ya kujitabishaa ucku kucha kupigania usawa,haki na maendeleo. sisi watu weusi mda mwingine ni watu wa kushangaza sana hatujui tunataka nin by pro. Lumumba
  6. L

    Kifo cha majoka ndani ya CCM: Sasa ni zamu ya nyoka mwenye makengeza

    Hivi kwel hujui km mkulu aliepo na aliepita ni wapgaji.... wao watang'olewa lini? Au ndio tunajitoa ufaham tu huku vtu vko wazi.... ila poa ngoja tuone magufuli atafanya nin...cha ziada
  7. L

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Hawez kupambana na mfumo uliomfikisha hapo alipo, ndio mzizi wa matatzo yetu tz.... kwahiyo hyo ni epson nyngne tu lkn season tunayochek ni ileile..... sijui inaitwaje hii season??? Tutumie ujinga wao kujinufaisha..may b
  8. L

    GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Kwa tume hii ya uchaguz bora, asijarbu itakua ni janga kumkosa lisu bungen Kama atakua ameshndwa kwa mgongo wa tume.....
  9. L

    Hata kama huipendi CCM, lakini mikakati yake utaikubali!

    Ila sasa nimeamini shetan akizeeka anaweza kua malaika mda mwingne.... siamin kinacho endelea tz kisiasa mda huu...
  10. L

    Hata kama huipendi CCM, lakini mikakati yake utaikubali!

    Naamin ccm itashinda, waweke basi uwanja sawa kwa tume huru ya uchaguz ili wapnzani wasipate kisingizio....
  11. L

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Inawezekana baadh ya wajumbe wa NEC hawajakubaliana na maamuz...tupashen
  12. L

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Naskia mapolice wako maeneo ya makao makuu ya chama sasa, na kunadalili za vurugu.. Tupeni ukwel basi.. mlioko huko
  13. L

    CCM Ipo Njia Panda - Haina Jinsi zaidi ya kuitumia Kete Ya Dr. Magufuli

    Kwa hii 5bora weng wanaopenda utendaji kazi najua watasema magufuli ndie...lakini kiuhalisia mfumo uliopo haupendi mtu anadai kua husimamia sheria bali mtu anelinda masrahi kwa mgongo wa sheria...nahisi wameamua kubadili chupa tu mvinyo ni ulele yaani membe
  14. L

    January Makamba is the next Tanzania Foreign Minister

    Magufuli angefaa kupewa lakin mfumo uko mbali nae labda kama membe asingekuepo hapo 5bora
  15. L

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Katka kizaz changu pia nimeshudia mizengwe hii ktk siasa za tz, daah nitasimulia wajukuu wangu.... tusubr tuone kama wana plan B
Back
Top Bottom