Recent content by LANCET

  1. LANCET

    Yaliyojiri: Mkutano wa Dr.Slaa Kyela

    Mwenyekiti wa chama lazima awe Lijari as Zuma Like Clinton.
  2. LANCET

    Kupambana na Ugaidi: Balozi nyumba kumi waanze kuorodhesha waakazi wao

    huu ni ubaguzi dhidi ya wageni. kwani wenyeji hawawezi kufanya ugaidi?
  3. LANCET

    Operation Kimbunga: Mhamiaji haramu yupo hapa!

    watanzania wengi waliosoma Uganda wana rafudhi ya kiganda, Je na wao ni Waganda? THREAD YA KIBAGUZI NA KIJINGA!
  4. LANCET

    Sakata la uhamiaji haramu-TZ

    agenda hii imeletwa sasa ili Watu wasahau kufuatilia uchakachuaji wa Rasimu ya katiba! WANAINCHI MSIDANGANYIKE!
  5. LANCET

    Kumbe ni kweli huyo ni Mnyarwanda kabisa anaeongoza vyuo vikuu Tanzania

    Huu sasa ni ubaguzi. Umemsahau WENJE!
  6. LANCET

    Tanzania AG Fredrick Mwita Werema writes to The Hague over Ruto trial

    Hivi Kagame ameingia je hapo? Acha ujinga!
  7. LANCET

    Membe ni kiongozi wa watu na mwana diplomasia aliye komaa mwenye msimamo usioteteleka

    Anashabikia sana vita huyu MEMBE! vita ikianza,asibaki ofisini tunamuhitaji front line.(mala eti Malawi tutaipiga siku moja, mala M23 tutawasambaratisha masaa machache ! viatu vya uwaziri wa mambo ya nje vinampwaya! hana lolote.
  8. LANCET

    Kanuni hii ndio imemtimua Mbowe bungeni - Ndungai yupo sahihi

    Bunge la Rwanda linawatu wenye akili ndogo kama wewe? na ukome!!!
  9. LANCET

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Aanzie kwenye kucha kisha meno then macho as usual ....!
  10. LANCET

    Tundu Lissu: CHADEMA imelegeza msimamo kuhusu mchakato wa Katiba

    Alikuja kuongea na Mwenye Mbwa na badala yake akamkuta dogi ....
Back
Top Bottom