Recent content by Lami

 1. L

  Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

  Umeelewa vibaya kuhusu kuua makafiri, hapana, haipo hivyo. Katika uislamu, mja akidhulumiwa haki yake, kabla hajaenda kumlilia mola wake anatakiwa kwanza apambane mwenyewe kuipigania hiyo haki. Akishindwa ndo akamlilie mola. Na kama akiuawa wakati akipigania haki iliyo yake huyo ni peponi...
 2. L

  #COVID19 Hoja za Askofu Gwajima zimewaumbua wataalam wetu na waliomuingiza 'mkenge' Rais Samia kwenye chanjo ya Corona

  Kufufua watu na wengine kufa ni mtindo wa maisha. Hata wakati wa Yesu Kristo watu walikuwa wanakufa na kuumwa kama kawaida. Maana yake ni kwamba sio wafu wote waliopata bahati ya kufufuliwa na Yesu kadhalika sio wagonjwa wote waliopata bahati ya kuponywa na Yesu. Haya kazi kwako. Najua huwezi...
 3. L

  Umachinga ni 'social behavior', siyo rahisi kuibadili kwa Sheria au kwa Matamko

  Shida kubwa ya hii 'inji' ni kuchanganya professional issues (mambo ya kitaalamu) na political issues (mambo ya kisiasa). Kibaya zaidi, politicians ndo wenye nguvu ya kimaamuzi kuliko professionals. Yaani bado tunaenda kwa 'one man show' na wote inabidi tucheze mziki kulingana na biti kutoka...
 4. L

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ameielezea vizuri Sera ya Majimbo kwa mara ya kwanza. Haina ukabila wala ukanda

  Ni kanda gani Tanzania haina utajiri wa asili (rasilimali)? Maamuzi yanayotoka Dar ambao wafanya maamuzi wengi hutokea hizo kanda ulizozitaja wewe ndo HUDIDIMIZA kanda zingine mpaka zinaonekana masikini. Tumechoshwa na wafanya maamuzi kutoka kanda ya ziwa na kaskazini mnaoishi Dar kutufanyia...
 5. L

  Mke anayefanyakazi (Mtumishi) Vs Mama wa nyumbani

  Pole sana ndugu, wewe sio wa kwanza kuwa na tatizo kama hili. Ulikosea tokea day 1 mlipokutana na huyo shem wetu. Day 1 ndo hutoa taswira nzima ya aina gani ya maisha na mahusiano mnaweza kuishi. Kama ulikuwa na lengo la kushirikiana maisha, basi day 1 mngeshare cost. Tatizo wanaume tunajikweza...
 6. L

  Mzee hataki mdogo wangu aoe binti aliyelelewa na Single Mother

  Usipojifunza kwa kusikia, utajifunza kwa kuumia. Ndo methali mpya itayokufaa. Meku yupo sahihi sana. Anywe mbege nakuja kulipa Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 7. L

  The Truth about sex

  In this thread, you fail to defend any sexual immorality done by our so called prophets. For example; 1. Abraham sexed with the maid. What if today I repeat the same, will I commit sexual immorality? 2. Jacob married Rebecca na Rahel. The sister were the blood sisters of the same father and...
 8. L

  Nini maana ya kustaafu; Je mtumishi wa umma anaweza kustaafu utumishi Mara ngapi?

  Aggrey Mwanri ana miaka 65 anastaafu wakati Philemon Sengati miaka 69 bado yupo kazini. Yule wa Dom atakuwa na 70+ ila yupo kazini pia, na wengine wengi. Usipasue kichwa Mkuu, wote hao ni nafasi za kisiasa.
 9. L

  Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

  Ndugu naomba unielewe (kuamini kuwa JF is a home of GREAT THINKERS); Sina hakika kama kuna wanaoumwa Korona leo wanajipeleka hospitali kwa kufuatana na kauli mbiu ya Mkuu. Kama wapo fine. Hiyo ndo maana ya SIDHANI. Lock down ilikuwa inahusu DAR tu. Sijawahi kusikia watu wakizungumzia ku-lock...
 10. L

  Nini maana ya kustaafu; Je mtumishi wa umma anaweza kustaafu utumishi Mara ngapi?

  Kuna makundi mawili hapo juu. Kundi la utumishi wa umma kupitia siasa na utaalamu. Kundi la utaalamu kustaafu ni miaka 60. Kwa maprofesa na madaktari (PhD) ni miaka 65. Kundi la siasa HALINA KUSTAAFU kwa maana ya miaka 60 au 65. Anaweza mtu akawa na miaka 63 akateuliwa kuwa Mkuu wa mkoa...
 11. L

  Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

  Nikiwa na kumbukumbu nzuri, hiyo kauli ilikuja kwa ajili ya kuondoa Korona. Haikuhusiana na ku-lock au kuto-lock Dar. Naamini mlengo wa hoja yako umejikita kwenye ku-lock Dar. Kadhalika, Mh. Rais mwenyewe alishuhudia kuwa hata mwanae mwenyewe aliugua Korona tu kwamba alipona kwa kujifukiza...
 12. L

  Nini maana ya kustaafu; Je mtumishi wa umma anaweza kustaafu utumishi Mara ngapi?

  Kuna tafsiri mchanyato kuhusu 'Mtumishi wa umma' Ila nijuavyo mimi, nafasi ambazo ni za kisiasa mf. Ubunge, Ukuu wa mikoa, wilaya, mawaziri na manaibu wao n.k. SIO watumishi wa umma. Ndo maana katika sakata la vyeti feki makundi yote hayo hayakuguswa. Hawa sio PERMANENT &PENSIONABLE. Sijawahi...
 13. L

  Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

  Mbona Yeye mwenyewe (Rais Magufuli) alisema kuwa HAIWEZEKANI ku-lock down Dar kwa sababu za KIUCHUMI. Vipi wewe tena kuhusianisha na KIDINI??
 14. L

  Frederick Tluway Sumaye kuchukua fomu ya Urais kupitia CCM 2020?

  Kwa zaidi ya miaka 5 unamziba mtu mdomo halafu unajisifia eti 'unaongea na bubu'. Ukitaka kujua nguvu ya cdm au upinzani, Wekeni tume HURU ya uchaguzi TU, hata polithi na JW wakiwa kwenu haina shida.
 15. L

  Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

  Kimsingi neno 'kutunga sheria' imekaa kisiasa mnoo. Kiuhalisia ni kwamba wabunge wao 'hupitisha' sheria tu. Wizara ya sheria na katiba pamoja na mamlaka zake ndo hutunga sheria. Ambao hao 'watungaji' huishia kupata 70m baada ya miaka 30.
Top Bottom