Recent content by lameck59

  1. lameck59

    Anayeuza au kukodisha akaunti ya Bolt

    Habari zenu, Kwa yeyote anaeuza ama kukodisha account ya Bolt naomba anicheck inbox.
  2. lameck59

    Ulaji WA mafuta usio kawaida.

    Hapan mkuu, nlihitj experience Tu nijue Kam gar IPO Sawa au vp. Maana skufanya service kubwa tangu ifike dar.
  3. lameck59

    Ulaji WA mafuta usio kawaida.

    Je nkishafisha engine Kwa kutumia motor flash, nkaeka engine ya Castrol ama total na nkabadil pug inawez kusaidia?
  4. lameck59

    Ulaji WA mafuta usio kawaida.

    Habari zenu waungwana, naomben msaada wa kutatua changamoto katika gari, Nina Toyota ractis cc 1490 engine 1nz-FE, ina week tangu niitoe showroom, tatizo nililobaini NI kwamba inakula wese ambavyo sio kiwango chake kinachofahamika. Litre moja inatembea km 11. Je huu ulaji WA mafuta upo Sawa...
  5. lameck59

    Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

    Mimi nimeota npo na dem kitandani tumejiwekea enclosure, kam maish ya udom yalivyo, yule dem nkamchezea san ila akagoma kabsa kusex. Nje ya kile kitanda kulikuw na watu wengi wanafunz na wao, baada ya kutoka pale kitandani jamaa yang mmoj akaniita pemben huku analia akanambia anamuhis huyo dem...
Back
Top Bottom