Recent content by lameck masalu

  1. lameck masalu

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    nawewe akiondoka tukufanye nini
  2. lameck masalu

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Ivi mkuu ndugu silaa yumo nalisu mbona simwon
  3. lameck masalu

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    mkuu imeanza kwan mana huku hatuon chanel wanayolusha itv wanamaigizo tu
  4. lameck masalu

    Lembeli: Walitaka kunihonga millioni 50 Nifiche mauaji ya Tokomeza, Bulaya akaniambia kataa

    ukiambiwa changanya nazako mie najiuliza ivi kwa nini kama huyu mzee alikuwa nachukia rushwa nawanamwambia kamati yake ihongwe 50mil kwanini hakusema wakati ule na akajiudhuru ile kamat kuonesha kuchukizwa na kitendo cha serikali iliyonachombo cha takukukru ,kana kwamba haitoshi nikwanini...
  5. lameck masalu

    Hivi kuna ukweli kuwa wananchi wanausimamisha Msafara wa Magufuli au wananchi wameandaliwa?

    twende pamoja had 25/10/2015 tuombe uzima utasema nani anasema kweli
  6. lameck masalu

    Hivi kuna ukweli kuwa wananchi wanausimamisha Msafara wa Magufuli au wananchi wameandaliwa?

    kinachonishangaza ni mtazo wa andiko yan lengo lako nikutueleza kuwa magufur hapendwi siyo vinginevyo yan unaandika kwa lengo hilo,hata wanaandaliwa kwenye miji mikubwa then njian watu wanaonekana wapo wanaomsubir na bado magufur anapendwa na nmtu sahihi afu nyie ukawa mnanishangaxa mliwahi...
  7. lameck masalu

    Hivi kuna ukweli kuwa wananchi wanausimamisha Msafara wa Magufuli au wananchi wameandaliwa?

    siyo muhemuko boss wewe unalenga kutuaminisha kuwa magufur hana watu wakat ukweli nikwamba magufur anawatu tena wengi
  8. lameck masalu

    Hivi kuna ukweli kuwa wananchi wanausimamisha Msafara wa Magufuli au wananchi wameandaliwa?

    wanakuwa wanajua kuwa atapita hivyo wanakuwa wapo kumsubil by zeway nafaham pia kuna watu huandaa watu lakin watu wanakosekana,andiko lako linalenga kutuaminisha kuwa magufur hana watu nakuwa anaandaliwa watu bila kukubalika lakin ukweli ni kuwa magufur anakubalika hamna mfano boss
  9. lameck masalu

    Hivi kuna ukweli kuwa wananchi wanausimamisha Msafara wa Magufuli au wananchi wameandaliwa?

    wivu mbaya mtajinyea mnasubili lowasa mliyemwita fisadi ili mtudanganye eti ni msafi hakuperekwa mahakaman tunazo kumbukumbu za slaa wenu tunaona sasa mnabeba makapi ya ccm nyie ndo uelewa wenu mdogo
  10. lameck masalu

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    bariadi wamekamatwa wanahongana na kuahirishwa uchaguz
  11. lameck masalu

    Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    uamuz wako ulikuwa mzur but ungemweleza kwanza kududio uone ataelewa au no
  12. lameck masalu

    Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    kwel hata wewe niwalewale hoja zako nyepes majibu utayaona badae
  13. lameck masalu

    Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    kwa hiyo unapomwambia atanzaze maji ni kwa hera zake,sasa mbona lissu nae barabara zake ni vumbi na nyumba za matembe heeeeee
  14. lameck masalu

    Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    kwa lisu kuna lami kuna maji sekondar ziko ngapi au anataka wasielimike ili aendelee kuwadanganya na visheria vyake
Back
Top Bottom