Recent content by Lamau

  1. Lamau

    JamiiForums Tanzania Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

    Afghanistan au Iraq ni lini waliivamia nchi gani iliyomo kwenye muungano wa NATO ndipo wakapigwa? Tafadhali nijuze mkuu nami nielimike; asante.
  2. Lamau

    JamiiForums Tanzania Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

    Tuorodheshee chache tafadhali; bila kusahau na picha kama zipo Mkuu. 🙏
  3. Lamau

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi Mtendaji Magu na wenzako mmetupiga milioni 40 za EP4R Shule ya Msingi Magu

    Kazi ni matendo yoyote HALALI anayoyafanya mtu ili ajipatie riziki yake na wale wanaomtegemea. kazi ni kazi bora mkono uende kinywani. Huyo mrembo WrestlerRSF254 aache kudharau wachimba mchanga; hao ndio wanaowezesha madereva wote wa matipa kuwa na kazi, wanawawezesha wenye matipa yao kuwa...
Back
Top Bottom