Recent content by lamarcnoel

  1. L

    Hapa nahitaji Ushauri wa kunitoa shimoni

    fanya kaz kwanza ili upate kod ya chumba, ungekua dar tungefanya wote kwan na mm nataka nifanye ktu kama hicho
  2. L

    Dereva Bajaji Anahitajika

    Anahtajika dereva bajaji wa kuandkshana mkataba, 150000-170000 kwa wiki, kwa mda wa miezi 18 baada ya hapo inakua yake. Nipo Dar 0659936528
  3. L

    Dereva wa bajaji

    mimi mwenyewe natafuta dereva bajaj wa kuingia nae mkataba, 150000-170000 kwa wik kwa mda wa miez 18. nipo dsm 0659936528
  4. L

    Naombeni ushauri

    hapo ulipo hujafeli, watu weng hawajui kua masomo ya sayans ni alumas, hvo kwakuwa umeyafaulu kwa kupata alama D, tafuta chuo usome labaratory au nursing. ajira haraka sana
  5. L

    Nafasi za Kujitolea JKT 2014 Zimetoka

    hi nchi bana da nimechoka. wanaandaa mazingra ya rushwa tu. huo umri mmh?
Back
Top Bottom