Recent content by Lamar chotara

  1. L

    JamiiForums Nisaidieni kumfahamu mtu anayeitwa Dr. Bana

    anaandaliwa zawad ya uwaziri na jk. Imepangwa agombee ubunge na kama atakosa apewe wa kuteuliwa then achague wizara. Ni mshaur wa ikulu wa rais kuhusu masuala ya siasa baada ya kuenguliwa prof mukandala.
  2. L

    JamiiForums Wahamihaji haramu kutoka somali wakamatwa kwenye lori

    wanamfuata kaka yao kinana jaman waachen
  3. L

    JamiiForums Mtu ukikutana na simba au chui ghafla porini tahadhari ni ipi?

    Ako Kwaang wewe ni wa kwetu kule dongobesh na tlawi?
  4. L

    JamiiForums Kuna tetesi kuwa Mwigulu agombee urais 2015.

    yap. Rais wa vichaa na wapenda wanawake.
  5. L

    JamiiForums Fundi ujenzi alazwa Selliani Hospital jijini Arusha kwa kumwagiwa tindikali.

    Imetokea jana wakati akiwa meneo ya Shamshi Drive In kuelekea kazini kwake na ndipo aliposimamishwa na watu asiowajua na kupatwa na majanga hayo. Tayari polisi wamepata taarifa na kuahdi kushugulikia suala hilo. Majeruhi huyo wa tindikali bado yupo hospitali amelazwa kwa matibabu.
  6. L

    JamiiForums Karibuni Ikulu

    duh.. Ikulu ya chamwino CCM au Magogoni?
  7. L

    JamiiForums "This week in perspective" kutoka TBC: Job Ndugai hoi kwa kiingereza kibovu cha kutia aibu.

    Siku bunge likiendeshwa kwa kiingereza itabid Job Ndugai aachie kiti, kwani ni mtupu kwa lugha ya malkia. Kwa aliyeona kipindi cha This week in perspective cha Adam Sembeye wa TBC1 nadhani alimshuhudia bwana Job akipiga 'Ngeli ya Genge' mbele ya Dr Bana na Rioba. Si lugha yetu lakini kwa cheo...
  8. L

    JamiiForums Wassira, Chikawe na Lukuvi jiongezeni.. Hamuoni aibu Raisi wenu anavyowaumbua?

    Ilikuwa kwenye mchakato wa wazo la uandikwaji katiba mpya lililopendekezwa na Chadema. Kama kawaida Wassira, Lukuvi na Sofia Simba mkabeza kwa kejeli na kusema katiba iliyopo inafaa na haina kasoro hivyo hakuna suala la katiba mpya na hamtaki kuisikia. Hapo raisi JK akawaumbua kwa kukubali hoja...
Back
Top Bottom