Habari,
Kwa yoyote anayehitaji hii machine, naiuza, ni yangu, nimeitumia kwa miezi miwili tuu, ni nzima kabisa, nauza kwa sababu nimekosa muda wa kusimamia, machine ipo Morogoro.
Bei ni 1,600,000, kama utahitaji piga simu no. 0628015467
https://chat.whatsapp.com/EbwFeprO7Id0LGrGLlx053, group hiloapo, tujiunge ili tuweze kushare bei za mazao mbalimbali sokoni, ili kujua soko zuri liko wapi.
Habari, mtu anayetaka shamba mvomero, maeneo ya bwawani. naomba aniatafute pm, kuanzia heka 10 kushuka chini, heka 350,000, maeneo ni virgin, hayajawahi kutumika, hata mimi nilikuwa natafuta, nikapata huko, nina plan ya kusafisha na kupanda miti ya matunda, nimeanza kazi ya kusafisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.