Nilimsikia meneja kampeni wa UKAWA akisema Mh.Lowasa leo anaanza ziara mbeya na kesho atakua mbeya mjini, mbeya ni moja ya mikoa yenye hamasa kubwa, kwanini huu mkutano usilushwe live makamanda?.
mm wa kiume mdau, nimejaribu tukae tuzungumze bt hataki hata kunipa hyo nafasi anajifanya yuko bize.kimsingi kwa sasa anajiona yuko juu na mm sio wa hadhi yake!
Niko na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana lakini ghafla amebadilika bila sababu nikipiga simu hapokei, msg hajibu na hana habari kabisa nimemuulza sababu hakuna jibu la maana analonipa ila hanitaki tena!
Nishaurini wadau nini cha kufanya nimtoe akilini na mimi niweze ku move on?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.