mbunge ambaye hajaenda shule kaleta maendeleo ya kutisha mafia. uwanja wa ndege, bandari, shule za msingi na sekondari, visima vya maji, hospitali na mengineyo sasa wananchi hawajali kama nyie mmesoma au la watu wanataka maendeleo. sasa huyo mbaraka kaleta maendeleo yepi? kama mbunge wa sasa...