Recent content by lakuchu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa hashiriki kuimarisha Chama, Hana Uhalali wa Kunusa Pua yake Kugombea CHADEMA.

    Chagadema waache pesa za lowassa. Haijawahi kutokea
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais aache ubaguzi wa kielimu. Mbona yeye alisoma kwa "Mature Entry Qualifications" na akapata mkopo Chuo Kikuu?

    Tulishabaguana sana toka kitambo na hao wenye uwezo wacha na wao waisome namba walijifanya wanauwezo malipo ni hapahapa duniani. Kodi hiyo unaisema wanalipa walikuwa wakwepaji sana maskini ndio walikuwa wanalipa acheni unafiki mkiguswa tu kidogo mnalia. Magu kaza hapo hapo kwa mara ya kwanza tz...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kumteua Naibu DG wa TISS kuwa Katibu Tawala: Jicho la pili...

    So what then?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais wetu hawezi kufanya kazi bila matangazo ya moja kwa moja ya television?

    Endelea kusubiri bunge live.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Snura Majanga anaswa kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) akiwa amebebeshwa vibuyu!

    Itakuwa mganga kavujisha siri baada ya snura kutolipa dau walilokubaliana huku washabiki nao hawajitokezi.
  6. L

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema awataka IGP na Mwigulu Nchemba wakauze maandaazi

    Hanaga akili yeye ni polisi tu badala ya kuhoji maendeleo ya arusha.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tukio la wamama kujaa pale kwa RC Makonda limenipa majibu haya

    Bila shaka hayuko tayari kuudhibitishia umma.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tukio la wamama kujaa pale kwa RC Makonda limenipa majibu haya

    Ila wamepata bima ya afya sio bure kawasaidia. Yule wa lowassa dingi ndo kamkana ni wake ndo maana amekataa kupima DNA
  9. L

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    Heri uwe maskini wa mali kuliko umaskini wa akili.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Paul Makonda aongoza kikao cha maangamizi ya CHADEMA ambacho ni hatari kwa Taifa

    Sasa naanza kuamini Chadema ni chama cha vita.
  11. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmetudharau watanzania kwa kwenda kushitaki mambo yenu huko

    Siku cdm wakishika dola watauza hii nchi
Back
Top Bottom