Recent content by LAKI

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Asante sana
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Asante sana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Kutopata mtoto, issue za kazi, loneliness n.k
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Yes nafahamu, ni mambo mengi sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Asante sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Asante, ni hali ya kuwa na msongo wa mawazo, wasiwasi, hofu, kutopenda kujichanganya na watu, kuogopa, kuona kama dunia imekuelemea na hakuna sababu ya kuishi tena, Hzi ni baadhi ya dalili tu.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa sonona

    Hello JF doctors, naombeni msaada kwa anayejua hospitali nzuri DSM ninayoweza kupata daktari mzuri wa sonona! Msaada wenu ni wa muhimu sana kuinusuru afya yangu. Asanteni.
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

    Hahaha, Nimependa comment yako @ Mshana.
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Mngoni. Thanks
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Poli,,jifunzai,,!
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Asante kwa ushauri. Jamani kwa issue ya yeye kula haina shida maana hata mgeni yoyote anaekuja kwangu huwa najitahid walau apate chochote. lakin najiuliza kama mi ni mpenz wake bas awe tofauti kidogo na wagen wengine.
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Usifurahi maana ndo hali halisi.
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Yaani. sema moyo wa mtu huwez jua. ntajitahidi ushauri mnaonipa.
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    asante. kama yupo bas atakua amejifunza.
  15. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    hamna kitu kama hicho. hata kijiko anachotumia kulia nimenunua mwenyewe.
Back
Top Bottom