Kwa Niaba ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii (C H Ws) BUKOBA MANISPAA, MKOA KAGERA. Tunawashukuru sana Uongozi wa JamiiForums .
Baada ya kuripoti changamoto yetu February 2024 ya madai Ya posho ya uhamasishaji wa ugonjwa mlipuko wa Murbug Tangu March 2023.
Hivyo changamoto yetu ilitatuliwa...
CHWs BUKOBA !!
Kwanza nashukuru management NZIMA ya jamiiforums Kwa KAZI kubwa mnayoifanya. Kutoka KAGERA, BUKOBA MANISPAA kuhusu SUALA letu la wahudumu wa afya ngazi ya jamii C H Ws. Kuhusu malalamiko ya POSHO zetu. Baadae ya kurusha taarifa yao ya madai 18/3/2024 . Waliweza kuona ufuatiliaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.