Recent content by laizerelibariki895

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba wa DP World kupingwa Makanisani, Misikitini, Kwenye Taasisi na katika mikusanyiko mbalimbali

    Shida ya nchi hii wanafichaficha vitu sana kama hizo sheria za kulinda rasilimali za mwaka 2017 wamekaa kimya sasa za nini kama hatuzifanyii kazi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba wa DP World kupingwa Makanisani, Misikitini, Kwenye Taasisi na katika mikusanyiko mbalimbali

    Alafu mimi naomba niwajuze kitu kimoja kama una maono na nchi yako endapo tukiruhusu DP World kuendesha bandari zetu ataanza kutupelekesha. Kumbuka issues ya Monopoly power arising mimi nawashangaa wabunge wetu na ni wasomi tuliowaamini lakini hawkufikiria kisomi zaidi kuhusu kurusu mkataba kama...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba wa DP World kupingwa Makanisani, Misikitini, Kwenye Taasisi na katika mikusanyiko mbalimbali

    Naomba niwaulize huu kwani hakuna sheria inayoruhusu ivunjwe ??? Mbona hata mkataba ya ndoa huvunja sembuse mkataba wa bandari??
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waanza kucheza michezo ya kutekana

    Kwani kuna mtu ametishiwa ni uigizaji tu huo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Kwa issue ya sabaya ni yake sio ya kabila mambo ya kusema wamasai hiyo iache tena ifutilie mbali kwa sababu viongozi wapo wengi ambao sio wamasai na wanatumia madaraka kama watakavyo .
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba wa DP World kupingwa Makanisani, Misikitini, Kwenye Taasisi na katika mikusanyiko mbalimbali

    Hii ni kweli kwa sababu kwanza huu mkataba haukupitiwa vizuri na ndio maana haya ymetokea Serkiali wamefanya makosa kutoruhusu maoni ya wenye nchi.
Back
Top Bottom