Recent content by laitonilala

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna chakula cha Serikali, fanyeni kazi huo ndio ukweli

    Nenda taaratibu kwaan kujenga watu na misingi yao kuna hitaji hatua madhubuti
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna chakula cha Serikali, fanyeni kazi huo ndio ukweli

    Sawa twende lkn kumbuka kuwajenga watu na mising
  3. L

    JamiiForums Tanzania RC Makonda na balozi wa China waweka jiwe la msingi ujenzi wa uwanja wa bandari, kugharimu $ 450,000

    Sawa Mh Makonda kwa hilo tunakupongeza sana ila tizama nia njema icje ikawa no mtego unapewa viwanja vya thaman hiyo nawewe unawapa wachina Mali wa watanzania milele na milele.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Makonda amjibu Lukuvi adai ataendelea na kuendeleza zile ekari 1,500

    Kawaida hasa ktk nchi hii ambayo mifumo ya namna ya kupata viongoz ni mibovu sana.Hivyo tucitegemee kupata watu wanaofanya kaz kwa kufikir zai y kutumia nguvu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kupata mimba

    Utakwenda nazo hizo 34567891011sasa Sikh yeyote baada ya hizo yaan 12_13_14, unaweza pata mimba ukitumia vzr hizo siku
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

    Hii ni kawaida kwa nchi ambazo maandalizi ya kupata viongoz wenye views za kutosha hakuna.Mungu aiweke mahala pema roho ya Ndgu Edward Moringe Sokoine.Hakika utakumbukwa sana kiongoz wa serikal wakati huo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

    Speed yake in nzr ila anaharaka ktk majibu na namna anavyotenda kaz hasa ktk kushughulikia mahitaji yawatu mahala pakaz
  8. L

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Tatizo nn maana kila jambo liwe na mwanzo,kwan hawakumalizana nae wakati ule.Jaman yamalizen mambo hayo ili watu wawe huru.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    Twende pamoja
  10. L

    JamiiForums Tanzania Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    Sawa ndugu Lema kama haki anayo MTU hakuna was kuizuia na kama hana,hana kwel
Back
Top Bottom