Asante kwa Maoni Yako Mr..
Naomba nianze kwa kukwambia kuwa hii ni new innovation na ipo kwenye stage ya testing ,hatufanyi kitu chenye kishafanywa na mtu na sisi tuna hatimiliki ya hii innovation ,na actually kinachokupa wasiwasi ndo power ya innovation hii kwasababu ni kitu kipya kwako na...
Kweli kabisa ,kubadilisha attitudes za watu ni kazi moja kubwa zaidi kuelekea commercialization..Nawakaribisha investors pia kwa ajili ya scale up ya mradi.
Asante kwa Maoni .
Kubusu hizo plastics na organics tunaziprocess wenyewe na kuziweka kwenye blocks (vipande) ,ambapo hizi blocks ndo zitaingizwa kwenye mashine kwa Ajili ya kuiendesha ...mnunuaji haitaji kutafuta uchafu atanunua blocks zilizo tayari .
Naomba kusikia Maoni yenu Wana JF kuhusu mradi wangu (wetu) ambao upo kwenye stage ya majaribio,kuelekea commercialization .Hii itanisaidia sana kupata statistics na kupanga market penetration strategies.
,karibuni sana
Link ni
Thread 'NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa...
Umaskini wetu tu ,Kuna kampuni Africa zinaanza kama start-ups za kawaida lakini still zimeweza kuwa kubwa ...wazungu wakikuona una kitu wanakupa Hela na wanakutumia kwa faida yao tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.