Ndio na juzi alipeleka barua ya kuomba apunguziwe adhabu ili ifikie kikomo adhabu yke aweze endelea na kazi zake za sanaa. Lkn basata walisema kuwa bado wanamwangalia maadili yke, yakiwaridhisha watamwachia.
Wanaotetea huu ujinga hawajui madhara alosababisha kwa watoto na vijana wetu kwa ujumla, wanaofurahia yale matusi yake jukwaani na ktk nyimbo zao ni type yake kimalezi na kimaadili yaaan ni Zero kabisa
Cjakwambia kwamba nafanya comparison kat ya wasanii na wasanii noooooo, na ujue kua sio kila mtu anajitangaza life yke kama ndgyo domo afanyavo, wengne wapo lkn ni private lifestyle yao
Weeeeeeee acha kabisa, usilolijua ni sawa na ucku wa kiza kwako, humjui kabisa alivo na roho mbaya uyu jamaa. Chukulia mfano mdogo tu ex bodgad wke alipopata ajali, alifanyaje. Uctujaze uongo kwa mapenz yko kwake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.