Kuna mtu kauliza imekuwaje, ngoja nimwagie mchapo. Habari za kusadikika ni kwamba huyu mama mtu mzima ambaye ni mtumishi wa bwana, amekwazika na issue ni kwamba, ana mwanae ambaye amekatiliwa na mchumba ambaye alizaa nae, kisa ni kwamba huyo mchumba(alyekuwa awe mkwewe) amerudiana na mpenzi wake...
Nawashukuru wote kwa michango yenu, nilikuwa nalielewa hilo sema nimeshangaa sana, kwani huyu mtu alianza kutoa matusi hayo baada tu ya kutoka kwenye ibada tena nje ya kanisa moja kubwa sana hapa jijini, na kwe status yake sema ana tabia hiyo sana. ikabidi niwaulize na wengine nijue mnaonaje hili.
Jamani nina swali, Hivi na sahihi kweli kwa mtumishi wa Bwana ama mlokole kuwa anatukana hovyo kwa kudhamiria tena majitusi makubwa kama vile m***** we, mbwa na kusema maneno kama natamani ufe?,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.