Recent content by Ladydii

  1. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

    Halima anatosha😋😋😋
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    ni moja ya mambo yanayofanyika ila sio jambo pekee.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Ungekua mwanaume ungenielewa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Mahusiano ni kusaidiana na sio msaada kwa mmoja
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Umeandika kama vile unajua sanaaa Jaribu kujitafutia utulivu wa akili kwanza Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    hahaha kwani mashindano!? alasiri njema kwako
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Sasa Ukihitaji si unasema!? Au nakosea mkubwa mwenzangu haha sasa mara mbwembwe! mara uvumilivu! Mahusiano ni hisia sio shurti hahaa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    sasa mbona unakasirika!? kwani kuna sehemu yoyote nimekukwaza?? Au sina haki ya kufanya maamuzi kwa wakati nitakapojiridhisha? Usichukie nikiwa tiyari nitakujuza
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Kwenye mahusiano huwa hatutakiwi kuvumiliana tunatakiwa kuchukuliana mapangufu kila mmoja aliyo nayo. Ukipata mtu sahihi hutomvumilia maana utafanya kukamilisha pale anapopungukiwa na yeye atafanya hivyo kwa pale unapopungukiwa wewe bila kuhisi maumivu ya kuvumiliana Sasa hicho wewe...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    😀😀😀😀😀niombee mwenzio... Wanaume na wanawake wako tele wengi tuu. Kikubwa Mungu atupatie aliye sahihi
Back
Top Bottom