Recent content by Lady Mwali

  1. L

    JamiiForums Tanzania Bondia Mfaume Mfaume na ujasiriamali: Afungua Naccoz Restaurant and Catering

    Katika kujiongezea kipato cha ziada mbali na mapambano ya ngumi nje na ndani ya nchi bondia huyu kutoka Gym ya Naccoz ameamua kujikita pia katika ujasiriamali. Hivi majuzi ameanza ujasiriamali kwa kufungua mgahawa unaoitwa Naccoz maeneo ya Mabibo Makutano, Ubungo,Dar es Salaam. Amewaomba...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Hip Hop Suma Mnazareth aibiwa pesa na simu Mbeya baada ya kulewa sana

    Hali hii imempata akiwa kalewa chakari na kuzima kabisa. Amejikuta kakung'utishwa kila kitu mpaka kushindwa kulipa bili baa ya bia na vyakula alivyokula. Ilimbidi aende hotelini kuuza vitu vyake vya thamani ili alipe bili. Msanii huyu ulevi utampeleka pabaya.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ulezi wa wanyama Kenya: Fursa mpya ya ajira Kenya

    Kwa wale wanaopenda wanyama,nchini Kenya kuna fursa kubwa ya kulea wanyama kama paka na mbwa. Malipo ya kazi hii ni shilingi 1000 ya Kenya sawa na shilingi 18000 ya Tanzania kwa saa. Kazi ya mlezi wa mnyama ni kumpa chakula ,kucheza naye, kumsafisha na kumpeleka hospitali mnyama Kabla...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Marehemu mtarajiwa

    Hii ni bangi au pombe? Si kwa kujiamini hivi.....
  5. L

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa boda: Abiria just mzigo chini

    Abiria hana woga wa ajali.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Unapoenda kuabudu kwa kuhani Musa Kimara Temboni zingatia haya

    Iwapo unataka kwenda kuabudu kwa Kuhani Musa lazima uzingatie haya. 1. Hairuhusiwi kupiga picha au kutumia smart phone kwenye ibada. 2. Hairuhusiwi kusinzia ibadani. 3. Hairuhusiwi kuegemea kiti mbele yako. 3. Unapotoa ushuhuda salumu ni Bwana Yesu atukuzwe na sio Bwana Yesu asifiwe. Kuna...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Video:Mapenzi ya hela

    Usithubutu kumpenda mtu kwa sababu ya hela zake...utakufa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huu ni zaidi ya ujasiri

    Kama hauna moyo na mwoga huwezi simama hapa.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kutana na mchezaji wa Gabon aliyezaliwa 1990 mama yake alifariki 1986

    Mchezaji huyo ana kesi CAF kutoa ufafanuzi kuhusu umri wake
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Real Madrid ana umri wa miaka 19 na mwanae wa miaka 8

    Ina maana mchezaji huyu alipata mtoto akiwa na miaka 11
  11. L

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi: Nape anaupiga mwingi

    Maendeleo hayana chama
  12. L

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi: Nape anaupiga mwingi

    Haya sasa masihara....tuko siriaz kweli?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Anwani za makazi: Nape anaupiga mwingi

    Hi ndo Bongo....kila kitu tunakurupuka
Back
Top Bottom