jamani si kila mwanamke<<<<<<<<mwanaume anapaswa kuwa mwanaume tu toka kuzaliwa kwake na mambo yake yanapaswa kuwa ya kiume, sasa hawa wasukuma wanapokuwa wapole, wanyenyekevu hii ni nini sasa amekuwa mwanamke?......mi nilikuwa na mwanaume wa kisukuma nikamwachilia mbali mambo yao siyo ya...
ni lazima tujiulize kiongozi kama pinda kutoa kauli za kuvunja haki za binadamu?????????????????hapa kuna mambo mawili 1. hana chembe ya damu ya mtanzania 2. hakulelewa na wazazi hivyo hana malezi ya kuelekezwa kujali binadamu wenzake.
kiukweli nampongeza dada Halima, lakini vita hii ya kuuziwa/kubinafsisha ardhi yetu inabidi tupigane wote kiume.............la sivyo tutajikuta hatuna chetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.