Kama walikua wameooana basi mwenye kosa ni mwanaume, kwa sababu mkioana mnakua na lenu moja ila kama walikua hawajaoana ni watu waliopaparukiana tu na kuingizana ndani basi kosa ni la wote wawili. Kwa mwanamke kosa ni kuamini kiasi cha kumpa nyara zake mtu ambaye siye mume wake halali, na kwa...
Wanahubiri vizuri tu. Shida waafrika tuliletewa injili kua inatusaidia tu kwenda mbinguni ila hatukufundishwa kuna injili pia ya namna bora ya kuishi duniani na kurithi baraka tulizoambiwa ni za Ibrahim ambaye tunajua kabisa umaskini haukutajwa kwake.
Wazee wa kazi naona vijana wa BMS Wanaapa hivi karibuni. Vp tangazo la mwaka huu walihitajika walioko makambini??? Watu wanasubiri sana mtaani hatukati tamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.