Recent content by LACHERO

  1. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Hakuna muumini yeyote asiye muislamu ambaye anaweza kumchinja NGAMIA,huu ni uthibitisho tosha kwamba uislamu ndio dini ya haki mbele ya Mwenyezi Mungu

    Wewe tenda mambo mabaya, iba, ua, usiwape watu haki, nenda msikitini tena ukiweza lala huko uone kama huo ufalme wa mbingu utauingia.
  2. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Ukimpata Fundi Mudi utafurahia sana maisha, yani kuipata 140 ni kugusa tu..
  3. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Car4Sale ISUZU Bighorn inatupwa!

    Bro ni kwamva hujapata fundi wake, gari matata sana hii. Ninayo moja na ninaenjy..
  4. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Upi labda
  5. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

    Mungu ni mwema mzigo uewasili salama, nimeenda kurudi mkoani, kwa ufupi niseme ni hatare.
  6. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

    https://www.fwi.co.uk/machinery/4x4s/isuzu-trooper-travels-20-times-around-globe Mzee Magu rip alisema watanzania tunatishsna Sana, mtu kazunguka dunia nzima 20 times alichobadili ni clutch Tu soma hapo juu.
  7. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

    Nishaagiza sasa chombo iko kwenye maji, ntatudii kuwapa marejesho[emoji23]
  8. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa mabalozi USA na UK ndani ya muda mfupi kunani nyuma ya pazia?

    Muda wao umeisha, kwa mfano Sarah alishatumikia miaka yske 3, akaongeza na mmoja. Itoshe tu kusema muda wao umeisha, unaswali jingine?
  9. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDSM akamatwa kwa kusambaza taarifa na Takwimu za uongo za Covid-19 WhatsApp

    Waziri mwenyewe kasema za ukweli tutaanza kuzipata kuanzia juma tatu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Pia wengi humu mnamjua Kabendera Kama mwandishi wa habari na sio consultant.
  11. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii ‘chain’ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Mimi nafahamu organization ambazo Kabendera anafanya nazo kazi, kwa taarifa tu ni kuwa he hardly present tra receipts.
  12. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi awasimamisha maafisa ardhi 183 kupisha uchunguzi

    Wacha kumchongea classmate want[emoji16][emoji16]
  13. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Ni marufuku wananchi kulipia nguzo

    We Taanesco jibu basi hii hoja Kwanza, Hilo la kutaka kujua namba za simu sijui Kijiji achana nalo Kwanza.
  14. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola amvua madaraka RTO wa Arusha kwa madai kuwa amepuuza maagizo yake na kuyaita ya kisiasa

    Nasikia ameinuliwa na kupelekwa ukerewe.
  15. LACHERO

    JamiiForums Tanzania Barrick yatangaza rasmi kifo cha Acacia!. Acacia yakubali rasmi kununuliwa baada ya Barrick kuongeza dau!

    Safii mkuu naona wewe la kina Nape halikuhusu umejikita kwenye kututaarifu hili la msingi, kama itakua hivyo Basi mororo.
Back
Top Bottom