Recent content by LABY

  1. L

    Halima Mdee na Wenzake walikosea kwenda na waandamanaji

    Hakuna kitu hapo! Kwani kuna mtu anapenda chama kwa sababu ya mtu fulani? Zitto na Slaa mbona hawakuiua? Ije kuwa mdee!!
  2. L

    Mbowe: Halima Mdee na Wenzake waache mambo ya Kihuni

    Kunguni hao waende zao. Ubunge unaelekea mwisho wa kuwakingia kifua hayupo tena!!
  3. L

    Natafuta mume

    Nilichelewa kuingia hapa! Vipi, ulishapata?
  4. L

    List ya transfer za degree mbali mbali

    Angalia jina lako hapa kama umepata transfer au laaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! Transfer_Processed
  5. L

    Kuhusu NACTE transfer

    Ooh! My God !
  6. L

    Kuhusu University of Iringa

    Dah! Nitakoma!!!!!
  7. L

    Kuhusu University of Iringa

    Mmmmmh! Unaweza kuwa sahihi kabisa ndugu.
  8. L

    Kuhusu University of Iringa

    Mmmmh! Unaweza kuwa sahihi kabisa.
  9. L

    Kuhusu University of Iringa

    Nakwambia! Mi mwenyewe niliwauliza wakaniambia visit tovuti ya Tumain, nikivisit nakutana na hayo hayo unayosema kila siku, hata leo!
  10. L

    Kuhusu NACTE transfer

    Msaada kwa anayefahamu! Ukishadownload form za uhamisho na kujaza kwa wale wa NACTE zinatumwaje hizo form za maombi ? Sioni maelezo yao kabisa hawa nacte. Ni tangazo tu na form no directions kama wenzao wa TCU ! Dah !
  11. L

    Kuhusu University of Iringa

    Sijui akina wahusika maana kiko kimya wala hata kutuhabarisha kama wengine no!
  12. L

    Kuhusu University of Iringa

    Jamani mbona tangu majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo yaanze kutolewa, napita humu kila siku sijaona chochote kuhusu Iringa university! Wala watu waliochaguliwa kujiunga ktk chuo hicho! Hivi nitakuwa nimechaguliwa peke yangu huko?
  13. L

    Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

    Nikweli kabisa, unaweza kukaa unasubiri kumbe mambo yashaisha!
Back
Top Bottom