Recent content by la stalavista

  1. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo mbona mnaninyima raha?

    ilikua hawajaweka asaiv inasoma ingia utakuta allocation yako
  2. L

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    ambao hamjapata mkopo msikate tamaa mungu yu pamoja nanyi atafanya njia pasipo na njia hili awashangaze macho yenu mwombeni na afanye wepesi wake mh awakumbuke
  3. L

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    kabisa wametukumbuka japo hatujui % walotupa ila tunashukuru hata kama ni kidogo
  4. L

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    sikupata batch one na 2 ila kwenye hiyo ya tatu nipo nimepata majina kweli yamechanganywa na batch zote
  5. L

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    jamani batch ya 3 alofanikiwa kuingia olams kucheki % tujuze
  6. L

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    MUngu ashukuruwe asee nimepata
  7. L

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    thenx MH umekubali kunisomesha kwenye batch ya 3 ubarikiwe nashukuru sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

    EEH MUNGU wangu wa mbinguni tusaidie kwa kweli wenzetu wapo orientation sisi adi leo hatujui hatma yetu fanya wepesi wako katika hili
  9. L

    JamiiForums Tanzania HESLB rudishieni pesa za watu!

    watatuua walahi dah bongo bahati mbaya
  10. L

    JamiiForums Tanzania HESLB rudishieni pesa za watu!

    watatuua walahi dah bongo bahati mbaya
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    K AKA NA MIMI NINA SHIDA KAMA YAKO KIMBIA BODI FASTER MM NILIENDA JANA ALHAMISI WAMENIPA CHANCE YA KUPELEKA BARUA YA MGANGA WA WILAYA SIKUWEKA MOTHER DISABILITY DOCTOR COMFIRMATION NIMECHELEWA KUIPATA NAIPELEKA LEO BAADA YA HAKIMU KUIPIGA MUHULI
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wale tulioingia chuo kwa mbwembwe na tukaishia kudisco kwa aibu tukutane hapa

    UDOM pagumu alooh! kwa watu wa humanities (now business and economics) nadhan tunamkumbuka MAN DEVIL (aman DAVID) na mwenzie FINTAN si watu wazuri bora madam pame na akina mwakapala ila si kwa aman david yule jamaa hata ukimic seminar tu umejila
  13. L

    JamiiForums Tanzania Help please: Mawasiliano ya chuo cha Mi̇pango Dodoma

    me udom but mipango ninamarafiki nnavojua mimi mipango wengi wanapanga rum self ni 50-70 No 0678049122 UNAWEZA NICHEK HAPO
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kupanga chumba na kukaa hostel kupi ni bora zaidi?

    dah bora mie bhana msoffe ananisubir aniregister pale UDOM na rum linaniwait mm niende sina habari na kupanga hapa no time kaka/dadangu sikushauri haswa kama ni msichana hutosoma nilijaribu kupanga nlipokua diploma mwaka wa kwanza nlizingua sikufichi nikaharibu kila kitu nikaanza upya but...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Joinning instruction

    k kila mtu na yake mkuu aingie alis ataweka index number ya 4m 4 na jina la pili kwa erufi kubwa anapata yake
Back
Top Bottom