Recent content by la senora

  1. L

    Husband anahitajika wana JF..

    hi wanajamii forum wapo wanaodai mie nihuyo mdada liyewaita mabaazazi baadhi ya wanapm,ukweli mie sie ,ila bahati mbaya siwezi kuprove.Ila nafahamu wapo watakao kuwa serious wataniamini. tafadhari kwa wa pm naambiwa mpaka niwe na post 5m kuweza kureply so plz mnivumilie nipost hizo 5, au...
  2. L

    Husband anahitajika wana JF..

    mhh unahakika ila ni maoni yako siwezi kulazimisha uniamini ndugu
  3. L

    Husband anahitajika wana JF..

    @ Bunsen burner, mie ndo umri huo , hivyo mwanaume nimeandika umri katika post
  4. L

    Husband anahitajika wana JF..

    hii wana JF Mie ndo mara ya kwanza kupost hapa ila si mgeni wa kusoma post humu jamii forum. nafahamu huku kwenyesocial media waliomo humu, ndio waliokomitaani hivyo nimeona nijitokeze katika kutafuta mwenza wa maisha. Maombi yangukwa Mwenyezi Mungu ni kunipatia Mwenza bora atayenifaa.Hivyo...
Back
Top Bottom