Makaa ya mawe yana nini ndani yake?
Nini kimejificha ambacho wananchi hatutakiwi kukijua?
Na kwanini kila yakigusiwa basi watu lazima waumizwe kwa namna yeyote ile? Inafikirisha sana.
Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)...
Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake.
Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.