Recent content by la fiesta

  1. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Wilaya Temeke mjitathimini hi barabara kutoka Mbande kuelekea Chanika inakutieni doa

    Hii barabara ni shida sana, halafu Watu wa huko wapo kimya tu kuanzia viongozi mpaka wakazi wenyewe. Zamani magari makubwa kama eicher yalikua yanatoka Gerezani mpaka kisewe sasa hivi mengi yamebadili route yanaenda Kisemvule kwa sababu ya Barbara mbovu. Hiyo barabara ni kubwa sana, Watu wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza jenereta ipo vizuri kabisa ni kama mpya tu

    Nauza Jenereta kama unavyoiona kwenye picha hapo na specification zake, unaweza kutumia nyumbani, dukani, salon , au ofisini n.k ipo vizuri kabisa haina shida yoyote ni kama mpya tu. Ipo KIJICHI CCM, DAR, serious buyer nipigie simu 0762689222. BEI 280,000 piga simu kwa maelewano 0762689222.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Asante mkuu nimeiona hiyo button na hapa nasurf full mzima, unajua hii PC nimenunua Jana sasa kuna MTU aliniwekea network fresh niatumia intranet Jana , sasa usiku ndo ikawa haiwaki hapo kwenye WiFi, dah toka Jana usiku naangaika kuweka sawa kila MTU nikimuuliza anashindwa kumbe ishu yenyewe ni...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Ni 64 mkuu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Angalia na hapa mkuu
  6. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Mkuu angalia hapo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Model ya PC ni , HP 8460 core i5
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Nafanyaje kuupdate mkuu, Naomba inielekeze
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Bado mkuu, nimefanya ulivyonielekeza lakini bado mkuu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Mkuu tayari then nifanyaje
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Mkuu nimekuja hivyo
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Tayari mkuu then
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada PC yangu INA tatizo LA network.

    Wakuu habari za weekend. PC yangu kwenye wi fi haiwaki on , nikiclick kwenye WiFi haioneshi on au kubadilika ranging inakuwa bluu yaani on, nataka koconnect na internet ya simu nitumie PC, naombeni msaada tafadhali.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Fursa sandals za ngozi au za kimasai

    Mkuu ungenipigia simu . halafu Niko bizw sana na kazi ndo maana sijareply muda mrefu kazi ni nyingi ndugu karibu siku nyingine mkuu.
Back
Top Bottom