mwambie huyo. anadhani elimu ndio akili? wapo wengi wenye akili lkini walikosa elimu na wapo wengi wenye hiyo elimu na hawana akili. maana wakati mwingine elimu ni vyumba vya madarasa tu hapa kwetu tanzania.
Mnapoteza mud a tuu.
Watanzania mmeshakuwa na udini. Udini wa nini katika maendeleo ya jamii yetu?
Kwa
nyinyi mnaousema uislamu je mnge zaliwa Irani mnge kuwa dini gani?
Na nyie mnao Sema u-kristo vibaya mnge zaliwa itary mngekuwa dini gani?
Waafrika twapigana juu ya dini na huku...
Uwo ushahidi wako uko wapi sasa mbona unatunyima nguvu mkuuu wa kuchngia mada yako . Yanakuwa kama maneno ya mtaani tu weka ushahidi watu tumwagike hapa.
Unajua watu wengine sijui huwa wanafikilia nini?
kwa wananchi mmoja mmoja ukimuuliza kuhusu muundo wa Muungano huku kwetu zanzibar atakujibu sijui au hayo ni mambo ya wanasiasa.. na ukitaka zaidi kupata michango yawatu ni kwenye vilinge vilinge wakati mwingine ni kwa watu wasio na kazi maalumu...
Mimi naona utania wewe kwa miaka 50 ya muungano zanzibar imechangia mara 3 tu katika serikari ya Muungano. na kumbuka gharama za maisha yetu kila kitu cheeee umeme cheee huku serikali ikidaiwa fedha kibao na tanesco. Je kuendesha serikari ya muungano itakuwaje? kulipa mishahara ya askari wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.