Kwakweli Hii haijakaa vizuri kabisa. Watu wanapamba kukuza vikoba iliziwe bank kwaajiri ya kusaidia hata wale wananchi wenye kipato kidogo waweze kuzungusha pesa. Halafu leo hii watu mnakuwa na tangazo la bank ni moja tu. Hiki kitu hakijakaa sawa kabisa. Bank zote zipo kwaajili ya manufaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.