Recent content by Kyungululu123

  1. K

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Mkakati huo ulipangwa mapema mara mahakama kuu ilipotengua ubunge wa Marehemu Kabuye.Mkakati ni hivi watumishi wa idara ya usalama wa Taifa wakishirikiana na Tume ya Uchaguzi, walianza kuvuruga majina ya wapiga kura na kuhakikisha kuwa watakaopiga kura wawe ni wale wenye muelekeo wa kupigia...
  2. K

    Why Foreign Aid is hurting Tanzania and other African countries!

    Pamoja na ukweli huo bado topic hii relevant,tumechoka kutegemea misaada ambayo ina tuchelewesha kujitegemea kwa kutumia resource nyingi alizotujalia mwenyezi mungu
  3. K

    CHADEMA chama Mbadala kwa CCM

    Mkuu Mag3 na Josh Hoja zenu zinanikosha sana.Kwanza natoa shukrani kwa crew members wa jamiiforums kwa kutupatia uwanja wa kubadilishana mawazo ili hatima ye tuweze kujenga taifa endelevu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Back
Top Bottom