Demo haina emotion factor involved tofauti na real account kwahiyo kwenye demo haugopi kupoteza ila real lazima uwe makini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kama hauko tayari kutake risk usiwavunje moyo wengine, na biashara sio lazima kutoka jashio 24hrs ufanikiwe, kinachohitajika ni carefull planing and analysing the situation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganya huku unapata mamilioni, hayo mamilioni yanakuja after a long tym of hustling and learning, maana all succesful traders it took them more than 3 years of learning and getting it right.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukulia mfano mtu mwenye capital ya 5000usd na mtu mwenye 500 usd, wote wakifungua position yenye size ya 0.5 ambayo 1pip equates to 5usd, alafu waka loose 10 pips ambayo ni -50usd hivyo mtu mwenye capital ya 5000 usd atakuwa kaloose 1% ya capital yake wakati huo mtu mwenye 500usd atakuwa...
Hujaewaelewa hapo wanashauri hivyo kwasababu ukitumia capital kubwa ni rahisi kwako ku manage risk na emotions tofauti na capital ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kufuatilia uzi huu nimegundua watu wengi wanapuuzia Fundamental na Sentiment analysis ambazo zina 80% influence kwenye Market movements. Technical Analysis hua inatumika katika kutafuta entry and exist points sio kudetermine future trend movements. Hapa ndipo educators wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.