Recent content by Kyeyombekeile

  1. K

    Kocha wa AS Vita: Tumefungwa na timu bora Afrika kwa sasa

    Najua unafraha kuona nafasi sasa imekuwa nyeupe kwako mwakani wenye akili wako wanaushukuru Simba angalau nanyi mnaenda kupanda ndege japo sina uhakika Kama mtaweza kisa nauli
  2. K

    Simba kucheza fainali mashindano ya CAF champions league

    Vigo vipi tofauti na al ahl
  3. K

    Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

    Ok Simba hatoshinda inawahusu nini?? Nyie mmeshinda nenda kwenye robo si mnajua mpira na kucheza? Simba akishindwa nyie mnapapungukiwa nn? Mshukuruni kwa kuwa mshakuwa na uhakika wa kucheza klabu bingwa mwakani ndo maana mna nyodo sasa hivi eti!! Uchawi wenu kwa Simba ndio ushindi wa Simba hebu...
  4. K

    Joshua Onyango na wenzake (3) wakutwa na COVID-19 Timu ya Taifa Kenya. Washindwa kucheza mechi dhidi ya Togo leo

    Hiyo haiwazuii kutafuta pa kuangushia mbona al merekk walienda CAF japo ni vibonde wa kundi
  5. K

    Kwa jirani kunaungua!!!!!

    Utopolo wanadhani mnyama mwoga !
  6. K

    CAF Ranks: Timu ya Simba ya 13, Namungo ya 59 na Yanga ya 74

    Kwani kihistoria ikoje huko maana sisi wa kihistoria?? 😄😄😄😄
  7. K

    Kwa jirani kunaungua!!!!!

    Washaukimbia tayari 😄😄😄
  8. K

    Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

    Utopolo wa ajabu sana unarekebisha vyumba kwa milion 180 wakati huo huo wachezaji wanadai pesa zao na bado kila kukicha kesi fifa unadhani ni mchezaji gani atajituma
  9. K

    Yanga yakubali kichapo cha kwanza Ligi Kuu Tanzania Bara

    Hawa utopolo hawana sifa kucheza VPL waingie ligi ya wilaya huko
  10. K

    Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    yanga ni mabingwa hvyo kila anayecheza nae naye anacheza akijua anacheza na bingwa.hvyo ucjal timu inalazimisha hasimu wake kupambana
  11. K

    Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

    dakika ya ngapi huko ili watu tufungashe vifurushi maana huenda ndo ikawa kwa kheri tena 🤭🤭🤭🤭
  12. K

    Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    Mimi nadhani haina haja ya kujua Kama kozi hiyo ipo au haipo kikubwa ni kusaidia kile anahitaji ahsante Wana jukwaa
  13. K

    Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    😄😄😄😄 Angekuwa ni mm Wala nisingehangaika na masters nadhani hiyo kazi ingenitosha kabisa
  14. K

    Ni ipi Masters nzuri kati ya Public Administration na GID?

    Ndugu wana Jukwaa la Elimu, Yupo jamaa yangu ni mtumishi wa serikali upande wa utawala na ana BAED (Geography and Political Science and Public Administration) wiki moja nyuma alikuja kuomba ushauri juu ya ipi masters nzuri ya kusoma Kati ya public administration na GIS nikamshauri kwa kuwa Yuko...
Back
Top Bottom