Recent content by kyata

 1. K

  Waamuzi wanaihujumu Azam

  Hapa sawa Ni Azam tv kuboresha urushaji wa matangazo yao ili kila mpenda Michezo na hao viongozi wa mpira waone mubashara bila kuacha mashaka. Kuwepo na camera za kuonyesha matukio Tata kwa undani (in more details) hii itasaidia kujifunza na kujirekebisha.
 2. K

  Uongozi wa simba nawapongeza kutuletea kibu Denis.. He is a Man.

  Anita nilimaanisha Ajira sorry
 3. K

  Uongozi wa simba nawapongeza kutuletea kibu Denis.. He is a Man.

  Mleta Uzi Ni Mwananchi mwenzangu Ila hii thread ya dhihaka siyo powa, kumbuka mpira siyo uadui japo hao wenzetu wanafanya as if ni big battle. Huyu mchezaji Leo yuko Simba a.k.a Makolo what if kesho akawa kwetu? Kumbuka mpira wa Sasa Ni Anita hivyo tupunguze mahaba niuwe kwa timu, tuupende...
 4. K

  Othuman Kazi ni VAR ya Tanzania

  Hamna mkate mgumu mbele ya chai
 5. K

  Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

  Hebu wacha kuargue kibwege aisee, mleta Uzi kaandika vizuri na mada yake Hiko very clear hebu tufike mahalo hizi timu zishinde kwa uwezo si kwa mbeleko Kama Hilo la leo.
 6. K

  FT: Simba 2 Geita Gold 1 NBC Premier League

  Ujinga mtupu, Sasa si Bora mpewe ushindi wa ligi na ligi iishe tu kuliko kupotezeana muda
 7. K

  Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

  Makolo wote kimyaaa Kama hawapo vile. Anyway tutaelewana tu
 8. K

  Washambuliaji wa kitanzania wanapaswa kujifunza kwa Mayele

  Hadi ligi inaisha Mayele atakuwa na Gori 24+-+
 9. K

  Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

  Geita Gold Ni wepesi mno mleta mada punguza mchecheto
 10. K

  Mashabiki wa Yanga mnanini

  Anatafunwa Sana maana comment zake zinadhihirisha.
 11. K

  Utabiri wangu kwa timu za Simba na Yanga kabla ya msimu kuisha

  Dadake aliwe ndiyo naye apate kula
 12. K

  Refa aliyechezesha mechi ya Namungo VS Yanga afungiwe

  Mkuu mashabiki wengi wa mpira hapa bongo Ni wanafiki tu. Kuna matukio mengi yameishatokea kwenye Michezo iliyotangulia especially Simba sc Ila hatukuona kelele Kama wanavyopiga kwa tukio la Jana ambalo kimsingi upande wangu naona matukio ya kawaida kwenye viwanja vyetu. Mojawapo Ni Hilo la...
 13. K

  Ruvu Shooting 1-3 Simba SC | Ligi Kuu | CCM Kirumba

  Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, leo Kibu mkongo kaupiga mwingi Sana kachangia goli mbili moja akifunga japo kakosa kadhaa Ila alizikosa wasifieni wslinzi na kipa wa Ruvu walikaa sawa. Hongereni Makolo.
 14. K

  Ni kweli kabisa Dua la Kuku halimpati Mwewe lakini naomba Simba wapoteze mechi ya leo CCM Kirumba

  Mleta Uzi na iwe hivyo na sote tuseme, Amina.
 15. K

  Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

  Na nyie mlikuwa wapi? Kwa nini hamkufichuwa ufisadi huo hapo kabla ili kuonyesha kweli Ni wazalendo wa nchi hii. Ukianza kuweka mambo hadharani wakati huu wa uchunguzi huoni kwamba Kuna kitu unakitengeneza ambacho kimsingi kinaweza kuathiri uchunguzi wenyewe? Ninajaribu kuwaza tu.
Top Bottom