Recent content by Kyaruzi

  1. K

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    DR.Masau ambaye alizua mjadala mkubwa humu Jf amefariki ni yule wa sakala la hospitali ya Moyo.
  2. K

    Mwakyembe akesha na abiria Tazara

    ...... sasa na mimi siku ATCL wakinichelewesha nikimpigia simu saa sita usiku atakuja "kushughulikia" pia?
  3. K

    Revealed: State`s top ten billions makers with NSSF leading the way!!!

    Mkuu ukiondoa mafao ya matibabu, mafao mengine mpaka utakapostaafu au kuacha kazi, sasa utanufaika vp ilhali bado unadunda kazini? Wataka kwenda mbinguni kabla ya kufa! kufa kwanza mkuu
  4. K

    Revealed: State`s top ten billions makers with NSSF leading the way!!!

    Im confused! si tuliambiwa na kuaminishwa hapa JF kuwa NSSF ni mufirisi na CAG ndiye alisema maneno hayo? Sasa hayo "mabilioni" ya faida yametoka wapi tena? Am I missing something here?
  5. K

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Mzumbe kumzawadia PhD Waziri nchimbi wiki hii mnaweza kusoma gazeti La Mwananchi la leo. najiuliza kwanini Diploma,Masters na PhD zote Bwana Nchimbi amesomea Mzumbe tu? nilitegemea kwa vile kituo chake cha kazi za Waziri Nchimbi ni Dar vizuri angefanya PhD yake University of Dar-Es-Salaam.Mzumbe...
  6. K

    Pamoja na kutakiwa kujiuzulu; Ngeleja agoma...

    Si Chadema wala Cuf waliounga Mkono au kutoa kauli ya Ngeleja kujiuzulu.
  7. K

    Mwandishi Katabazi analipwa na Liyumba?

    Anamfagilia Fungamtama mara tu baada ya Dowans.kulikoni Katabazi? hata yale makali yako ya zamani siku hizi hayapo tena. Wakili: Dowans itadhohofisha nchi niliposoma na ile makala ya Mhariri mkuu wa Tanzania Daima akimshambulia Waziri Sitta nilihisi kuna kitu mashambulizi ya Mfutakamba na...
  8. K

    Mwandishi Katabazi analipwa na Liyumba?

    Hii ya karibuni kumfagilia wakili Kennedy Fungamtama kama ni wakili mahiri naona dada yetu hakuwa sahihi.ni vizuri atizame jina lake amelijenga kwa muda mrefu akifuata mishiko ya mawakili ili awafagilie atakuwa anavuruga taaluma yake.Dada yangu tunakutegemea sana.
  9. K

    Kennedy Fungamtama; Wakili aliyewasilisha Hukumu ya Dowans Mahakama Kuu!

    NGELEJA ajiuzulu. alikuwa mfanyakazi wa kampuni binafsi kabla hajawa waziri.alikuwa naibu waziri wakati sakata la richmond linatokota.ametulazimsha tulipe kwa haraka.
  10. K

    Kennedy Fungamtama; Wakili aliyewasilisha Hukumu ya Dowans Mahakama Kuu!

    Baada ya Kennedy kuhojiwa na Tanzania Daima muda si mrefu Mhariri Mkuu wa Tanzania Daima bwana kibanda akaandika makala ya kusema Sitta anatakiwa kuvuliwa uwaziri.
  11. K

    Pamoja na kutakiwa kujiuzulu; Ngeleja agoma...

    Waziri wa Nishati Bwana William Ngeleja anatakiwa kujiuzulu. kwanza kutulazimisha tulipe haraka kampuni ya kitapeli Dowans. Pili yeye hakuwa na nafasi ya kuzungumzia habari za Dowans kwani ana Interest huko nyuma alifanya kazi za wanaosadikiwa kuwa wamiliki wa Dowans. Tatu-Wakati wizara...
  12. K

    TFF na ufisadi mzito

    Makala ya uchunguzi ya gazeti la Tanzania Daima zaidi ya mwaka mmoja kuonesha kuwa TFF kuna wizi mkubwa si wizara wala Takukuru waliofuatilia. http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=4229
  13. K

    TFF na ufisadi mzito

    Baada ya gazeti la Tanzania Daima kufichukua wizi wa TFF kwenye mapato ya uwanja wa Taifa,wizara husika baadaye iliahidi kushughulikia suala la upotevu wa mapato ya clubs na timu ya Taifa.Rais wa Tff akaahidi kuomba ushirikiano wa wanachi kujua nani anawaibia fedha zao. Hivi juzi kiongozi...
  14. K

    Natangaza rasmi dhamira ya kugombea Ubunge 2010

    Kazana bwana Mnyika jihadhari na watu kama GAME THEORY ambao wanahoji elimu yako kuwa una Zero. mtu wao Zitto kabwe ana elimu gani?
  15. K

    john mnyika wa CHADEMA alipata Div ngapi?

    Mwacheni achukue ubunge wanaosema hajasoma ni haters kama GT ambao kila siku kuwashambulia wakristu,bora Mnyika hata kama ana zero kuliko Ncimbi mwenye PhD feki.
Back
Top Bottom