Recent content by Kyara23

  1. K

    Mahakama zetu ni zaidi ya duka

    Kasome the NOTARY PUBLIC AND COMMISSIONERS FOR OATH ACT CAP 12 tena imekua ammended mwaka huu, uyo aliekuambia 2000 mshukuru sana kakuonea huruma sheria imepandisha kiwango to 20000! Haya mambo yapo kisheria wacha kulalamika
  2. K

    Call for interview, Mediator II and Arbitrator II

    nimeliona mkuu, nikushukuru sana kwa taarifa
  3. K

    Call for interview, Mediator II and Arbitrator II

    Nikushukuru, na ya Arbitrator mkuu
  4. K

    Call for interview, Mediator II and Arbitrator II

    tafadhal mwenye ilo gazeti tunaomba atupgie picha majina yote afu atuwekee umu
  5. K

    Asili ya neno 'desa'

    hili neno limetokana na greek poem "theodyssey" the poem ilikua intended to be heard rather than be read bt kukatokea mabadiliko kutokana na art iliyotumika kufikisha uo ujumbe! so the conversion of somethn unachopaswa kuskia ikawekwa into writtings ndo scholars wanaita theodyssey badae in...
  6. K

    Human Resource Manager anahitajika, Viettel Telecom

    Asante sana! Watu ka hao nawaonaga ni wenye MIHEMUKO, wakibakishwa kwnye chujio la usaili wanaanza kuzomoka na kulalamika usaili haukua fair mbona pepa lilikua rahisi, wamechukua watu wao! wakati hawakai chini wakasoma sentensi kwa utulivu
  7. K

    Human Resource Manager anahitajika, Viettel Telecom

    You guys are so unprofessional, and i hope you get a very competent HR! manake so far recruitment mnayoifanya currently ni vioja vitupu!
  8. K

    Vietell Tanzania inatafuta wafanyakazi 784 katika nafasi tofauti

    hawa jamaa wako very unprofessional
  9. K

    Jinsi ya kupata taarifa pride kwa wale tuliofany written interview jana.

    Only shortlisted candidate wil be contacted!! let this be a lesson to u, jenga tendency ya kubadilishana namba na baadhi ya candidates mliokua wote kwnye interview hii itawasaidia kupeana updates! all in all ukiona kimya kimekua kingi we jua umebaki kwnye chujio.
  10. K

    Ajira za utumishi: Nimeona makontena matatu ya barua zakuomba kazi utumishi.

    Utumishi wako juu kweli, wanatumia makontena "transparent", mtu wa nje anaweza kuona kilichomo ndan ya kontena
  11. K

    Interview CMSA

    Jaman CMSA si ilitangazwa na Utumishi na mchakato mzima unasimamiwa na hawa jamaa?? na utumishi wana utaratib mzuuriii tu wakuweka majina yote wanaoitwa kwnye interview so mtu ukiona hauko kwnye list fasta tu unaangalia mpango mwingine ssa huu mpango tena wakupginiana sim mtu unakaa unasubiria...
  12. K

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    aisee mkuu na kweli yatapungua! nlikua naitafta sana hii list
  13. K

    Usaili Hakimu Mkazi II

    Mwenye kujua usaili wa hakimu mkazi unakwendaga vipi pamoja na maswali yanakuaga ya aina gani, tafadhali atujuze
  14. K

    Shahada ya Sheria imeshushwa hadhi na Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Rudini shuleni mkapge kitabu, wacheni kulalamika! Bachelor degree imekua too mainstream unaitaji kuwa na kitu cha ziada! niukweli uliowazi mtu aliemaliza tu llb akiongea na aliepita law scul tofauti utaiona tu, this is subject to sone few exceptions
  15. K

    nisaidieni kuhusu tume ya ajira

    nimeamini kwel watu kushindwa kupita kwnye interview tunashindwa kwa mengi despite the fact kwamba mtu unaweA kua na ujuzi na elimu inayotakiwa! jaman mbona maelezo hua yako wazi kabisa kwenye kila tangazo la kazi normaly zile page 2 za mwanzo! tujarib bas kupoteza muda wetu kusoma yale...
Back
Top Bottom