Recent content by KYAKU KUMYENSA

  1. K

    Women's access to land in Tanzania

    ni kweli, sheria za jadi zimekuwa ni kikwazo sana kwa wanawake kumiliki ardhi, na hii inapelekea wanawake kukosa haki zao za msingi. nafikiri ni wakati sasa tunapaswa kuziangalia vizuri sheria za umiliki wa ardhi hasa katika kuzibana sheria za jadi
  2. K

    Women's access to land in tanzania

    Do women in Tanzania have equal access to land as men do?(in reference to National Land policy and its related laws)
  3. K

    Women's access to land in Tanzania

    Do women in Tanzania have equal access to land as men do?(in reference to National Land policy and its related laws):panda::panda:
  4. K

    Biashara ya Saccos

    salaam ndugu wana jamii! Mimi ni kijana, napenda kuwa mjasiria mali kwa kukuza uchumi wangu na jamii kwa ujumla. Kwa kushirikiana na vjana wenzangu, tumeamua kuanzisha kikundi chetu cha biashara. Je, ni taratibu gani tupaswa kuzifuata ili kusajili jina la kikundi chetu cha biashara ili kiwe...
  5. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    nashukuru kwa msaada/ushauri wako. zinapatikana wapi?
  6. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    ASANTE SANA Dr. RICK, NINASUBIRI MREJESHO, NA NILIPOST KTK EMAIL ULIYONIPA, UKIIPATA PLEASE REPLY VIA THE SAME E-MAIL. MUNGU AWABARIKI
  7. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    nimepost kwa email yako more details mdau.please inform me kama utaipata
  8. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    hivyo ndivyo mkuu, tatizo kubwa nilililoambiwa ni upungufu wa damu kwa kiwango kikubwa, na madhara yake ndo hayo niliyoandika hapo juu, kwa sasa, sina hamu ya kula kabisa, na siuelewi mwili wangu kabisa, na hata hivyo nimezidiwa na mawazo ya hofu sana. Tofauti na wanavyodhania wachangiaji...
  9. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    NIPO KANDA YA KATI, SINGIDA, ILA KAMA UTAKUWA TAYARI KUNISAIDIA NAWEZA KUKUTAFUTA ULIPO, TAFADHALI NIJULISHE UNAPATIKANA HOSPITALI GANI, NA NAMNA YA KUKUPATA DR. kyakukumyensa@gmail.com
  10. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    23 gram/ decilitor
  11. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    DAWA HIYO INAITWA aerometrophine HICHO KITENDO WAKATI MWINGINE WANAKIITA BLOOD CIRCULATION, ILA HUWA WANAITOA DAMU YANGU YOTE NA WANAIRUDISHA IKIWA WAMEISAFISHA (SIJUI KITENDO KINAITWAJE KWA KWELI), NA HUWA SINA FAHAMU KWA WAKATI HUO, NA MARA NYINGI HUWA HAWAPO TAYARI KUNIELEZA KINACHOTOKEAGA...
  12. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    asante dr. Kupata maswali zaidi ni mwanzo wa kupata suluhu. Kiukweliu ni vigumu kunielewa, ila hayo ndio maelezo ninayopewa na wazazi pamoja na daktari ambaye huwa anashughulikia tatizo langu. Kiutaalamu kwa kweli siwezi kukudanganya,sijui inatakiwa itajwe/itolewe maelezo vipi, ila ndivyo...
  13. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    asante sana dr. Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitano nasumbuliwa na upungufu wa damu,(wakati nipo mdogo niliwahi pata tatizo pia la damu wakati wananiongezea wakafanya makosa kidaktari hewa ikaingia ikasababisha kuwepo kwa gap, na hilo gap ndo linapelekea seli zisizalishe damu- hicho ndoo kiini...
  14. K

    Seli za damu hazizalishi damu

    NDUGU WANA JAMII, NISAIDIENI NIFANYEJE ILI NIPOMNE HILI TATIZO! KIPINDI NIPO MDOGO, KABLA SIJAFIKISHA MIAKA 18, NILITOLEWA DAMU KTK HARAKATI ZA KUCHANGIA DAMU SALAMA, BILA KUJUA, NA KWA ELIMU NDOGO NILIYOPEWA NA WAHUSIKA SIKUWA NA UELEWA WOWOTE JUU YA KUTOA DAMU, VIGEZO NA MAHITAJI MENGINE.HAYA...
Back
Top Bottom