Hawa nao wamezidi wamezuia Twitter(X) basi wazuie mpaka WhatsApp Ila haitasaidia chochote wananchi wakiamua Jambo Lao huwezi wazuia Kwa kufunga Mtandao ya kijamii.
Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais.
Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.