Recent content by Kyakailabwa

  1. Kyakailabwa

    Matofali ya kisasa interlocking blocks(hydrafoam) kwa anayehitaji

    Tuambieni bei hata mm nayahitaji sana tuambie bei kila tofali in sh ngapi hata kama kuna maelewano tujue
  2. Kyakailabwa

    Uchafu wa Mbunge wa Ulanga CCM

    Kiukweli kauli hiyo sikuipenda kwasababu mtu anastahili kupewa heshma yake watu walizoea kuropoka bungeni sasa yamemkuta bwanamdogo maana alifikiri yupo kwenye mkutano wa kampeni.
  3. Kyakailabwa

    Rais wetu umesema unataka Tanzania mpya wananchi tunataka katiba pendekezwa ya Warioba

    Nafikiri umechanganya mada katiba inayopendekezwa siyo ya Warioba, ya Warioba ni Rasimu ya II. Na ndiyo watu wengi tu ayoipenda ipitishwe kuwa katiba mpya ya familia
Back
Top Bottom