Recent content by Kyaiyembe

  1. Kyaiyembe

    'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

    Mnanichanganya miaka elfu 40 kweli?. Mungu alituumba siku ya sita jamani. 🤣🤣🤣🤣. Kama ni hivyo basi ni evolutionary process ndiyo ilituleta duniani. Sema Mimi naamini tuliumbwa bali ile namna ya kutuumna hatuielewi japo ilitokana na uwepo wa viumbe wengine. Maana naamini siku Moja kwa Mungu ni...
  2. Kyaiyembe

    Hivi ulitongozaje siku ile ulipotongoza kwa mara ya kwanza?

    Shida ni mizunguko ya ahadi mpaka kupata mzigo tarajiwa.
  3. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    PARIPESA wamenitumia conir me action number.
  4. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nimejaribu kufungua akaunti naona inagoma.
  5. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo tujaribu tena, maana Jana ilikuwa kilio tu.
  6. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Liverpool wamebeti mechi yao ya leo.
  7. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee habari za humu ndani, kama Kuna anayetumia sportpesa anisaidie kuedit hii train tupate mkeka tumle mhindi. Code hii hapa. teSrA7
  8. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kumekucha waungwana, mikakati ya maana tumgaragaze adui yetu. Tutupie code sasa hakuna kupumzika.
  9. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna mechi nzuri leo tusiache mbachao. Tumnyatie kanjibai.
  10. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yuda Iskariot mikeka mimgine inafika mara moja moja, huu ulikwepa mishale yote ukafika na mabehewa yake yote 45 japo nauli ilikuwa kidogo.
  11. Kyaiyembe

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man U ndiye Player of the day!.
Back
Top Bottom