Ana madaraka akiwa kama Mkuu wa taasisi ya serikali yaani executive. Na madaraka yake yana mipaka yake kutokana na katiba yao.
Kuna taasisi zingine kama vile Bunge na Mahakama, nao pia wana madaraka makubwa tu.
Ndo maana majaji wameweza kumtikisa vizuri sana.
Hivi wewe jamaa unafikiri vizuri kweli. Hivi inaijua Havard wewe? Kwa nini kiitwe Chuo namba moja duniani? Unafikiri wanafanya politics kama za UD kila siku hata kwenye top 10 ya Africa hakipo. Nenda Havard, Stanford na MIT kama hukuti graduates wa Feza wakikimbiza na huko.
Fika Feza ujionee mwenyewe. Au jaribu kututafuta graduates wa Feza tuliopo katika sectors mbali mbali ndani ya nchi au nje ya nchi ujionee mwenyewe. Kuna wengine tupo Havard, Massachusetts Institute of Tech, Yale, Stanford, Cambridge, Oxford. Sijui huku nako tumeingia bahati mbaya.
Let's sura...
Halafu wewe kuwa na akili. We ni kati ya watu ambao uwepo wenu nchini ni tatizo. Nchi hii tunataka kupiga hatua tuingie uchumi wa kati. Kuwa na watu kama wewe ni tatizo kwa mustakabali wa taifa letu. Feza wana walimu makini ssna wenye uwezo ws hali ya juu sana. Management ya Feza sio ya mchezo...
Acha ukali bro. Jadiliana kwa hoja. Anaweza akawa yupo lakini ni Mwalimu au ni one of non-teaching staffs kama vile accountant, dormitory patrons, librarians etc. Feza wana staffs tu.
Naomba niliweke hili vizuri.
Mimi ni mmoja kati ya wahitimu wa Feza Sec. Nakumbuka, nilivyohamia Feza sikuwa vizuri sana academically kutokana na ukweli kwamba, huko nilikotoka background yangu haikuwa nzuri. Nili fail interview lakini mzazi wangu alibembeleza sana, uongozi ukanionea imani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.